
Baada ya baraza la sanaa Tanzania BASATA kutangaza rasmi kumfungia msanii wa muziki wa
Hip Hop Nay wa Mitego hapo jana na maneno mengi yamezungumzwa mtaani na hiki ndicho alicho kisema staa huyo baada ya taarifa hizo kusambaa.Nay wa Mitego ameandika katika ukurasa wake wa Instagram kuwa ''Paka akitoka ,panya hutawala...!! Sasa akiludi watatafuta pakujificha ni kuwatafuna tu.!!'' Posti ambayo imezua gumzo mtaani kwa kudhani kwamba kuna watu wanalengwa katika post hiyo. Yetu macho, ukweli anao yeye mwenyewe moyoni.
Unaweza kuangalia hapa posti hiyo aliyo iposti nay wa Mitego.

No comments:
Post a Comment