Alichoandika Nikki Mbishi baada shabiki kumwambia bora aache muziki.. - Jumaa Lunduno

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, 24 August 2016

Alichoandika Nikki Mbishi baada shabiki kumwambia bora aache muziki..

Image result

Moja ya vitu vinavyowatoa povu mastaa wengi wengi wa muziki ni comments za mashabiki kwenye mitandao ya kijamii.Safari hii seke seke la comments za kukera za mashabiki zimemkuta Nikk Mbishi mmoja wa wana hip hop mahiri kutoka Tanzania hapo shabiki mmoja alimwandikia comment mchanaji huyo akimtaka aachane na muziki kwani mashairi yake hayana maana.

''Imefika time Nikk achana na muziki fanya kazi nyingine,King of rhymes aliwahi kusema sio laziwa wote tukawa wanamuziki wengine bora mkabaki kuwa mashabiki,your music is full of shit nothing special,why Sir God alimchukua ngwea akatuachia mbulula kama wewe'' aliandika shabiki huyo.

niki_0
Nikk Mbishi kama kawaida yake huwa haachagi mambo yampite alijibu comment ya shabiki huyo kwa kuandika ,''Na bado unanisikiliza,kweli #So_Sad'' na kui screen shot comment ya shabiki huyo na kuandika waraka mrefu ulisomeka kama ifuatavyo..

''Sio mnapost mkisifiwa tu na kupewa moyo hata mkipondwa na kukatishwa tamaa postini.
Shukran sana bwana @king_bonge_ @king_bonge_
You’ve made my day!
Remember:Who Jah Bless No Man Can Curse.
My music is full of shits:
1.Kijusi
2. Sauti Ya Jogoo
3. Natoka Tanzania
4. Pesa Kwanza
5. Play Boy
6. Kwanini Mimi
7.Au
8.Toast To Life
9.Michepuko
10.Tembo n.k zote ni #BULL_SHIT hahahahahahha!
#MUZIKI_SIACHI na
” aliandika Nikk Mbishi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here