Belle 9 amefunguka kuhusiana na tetesi hizo ambapo amesema kuwa alienda ofisini hapo kumpongeza kwa juhudi zake tu kama ambavyo anaweza kwenda kwenye ofisi ya msanii mwingine yoyote,
''Watu waliitafsiri hivyo lakinii reality me nilifanya tour tu ya kumtembelea mshikaji, na nilifanya hivyo just ku’appreciate kile ambaco amefanya mpaka sasa hivi kwenye muziki, na mimi sina makundi, sina upande so siku yoyote unaeza shangaa nipo kwa sugu, nipo kwa alikiba, niko kwa Joseph Haule,Nilijisikia kumtembelea mshikaji nikafika lakini watu walivyoichukua wakatafiri nimeenda kusaini pale lakini mimi sikwenda kusaini, me nlikuwa nimwkewenda kuangalia anafanyeje kazi, anatreat vipi wasanii wake na kuna vitu gani naweza kujifunza'' alifunguka belle 9
WCB imesha saini wasanii wanne hadi sasa, Rich Mavoko, Harmonize, Raymond na Queen Darleen.
No comments:
Post a Comment