Hizi hapa Sababu za Raymond wa WCB kukaa na rasta ndani ya saa 16 kisha kuzinyoa. - Jumaa Lunduno

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday 4 August 2016

Hizi hapa Sababu za Raymond wa WCB kukaa na rasta ndani ya saa 16 kisha kuzinyoa.

 
Ni Agosti 3, 2016 ambapo msanii kutokea WCB Raymond aliingia kwenye headlines baada ya kuchukua maamuzi ya kufunga rasta huku ikionekana kuwakwaza  mashabiki wake wakimtaka hakitoe
Staa huyo amekubali kuipata heshima na kayangea haya.
''Unajua watu hawakuelewa sikuweka zile rasta kama ni style yangu mpya hapana niliziweka kwasababu ya kufanya photoshoot kwahiyo niliziweka kwa siku moja sasa jioni nikaambiwa niende kwenye event nikaenda nazo hivyo hivyo'

Msikilize hapa Alivyosema Raymond a.k.a RayVan.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here