Linah aeleza kwanini watu wanahisi anatoka kimapenzi na Billnas. - Jumaa Lunduno

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday 9 August 2016

Linah aeleza kwanini watu wanahisi anatoka kimapenzi na Billnas.

 linnah
Msanii wa muziki, Linah Sanga amekanusha tetesi ambazo zilisambaa katika mitandao ya kijamii kuwa anatoka kimapenzi na rapper Billnas.

Muimbaji huyo ambaye ameachia wimbo ‘Raha Jipe Mwenyewe’ hivi karibuni, amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa Billnas ni mshkaji wake.

 Aliongeza, ''Bill Nas ndiye aliyenishauri nibadilike kwenye muziki na kunipa ''Connection'' na
''Producer Mr T Touch'' yeye ndiye aliniambia nibadili mfumo mzima wa muziki wangu na ndiyo nikafanya hivyo,''

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here