Mwimbaji maarufu wa singeli nchini,Man Fongo ambaye anatamba na wimbo wake wa hainaga ushemeji
amefunguka na kusema kuwa hapendi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanawake maarufu.
Msanii huyo alisema hayo baada ya kuulizwa kwenye kipindi cha The Base cha ITV kama kuna msanii yeyote wa kike ambaye anatamani kutoka naye kimapenzi.
''Katika ndoto zangu mimi,napenda kuwa na mtu wa kawaida ambaye sio super staa,ndio maana nikaamua kuoa mapema'' Alisema Man Fongo
alipoulizwa kama kuna msanii yeyote anayetamani kutoka nae kimapenzi.
No comments:
Post a Comment