Leo August 6, 2016 ni siku aliyozaliwa mtoto wa staa wa bongo fleva Diamond Platnumz ambapo watu wengi wamemtakiwa mtoto huyu kila la kheri kwenyeBirthday yake, bongo movie staa aliyewahi kuwa na mahusiano na Diamond 'Wema Sepetu' hakuwa nyuma kwenye salamu za heri ya siku ya kuzaliwa kwa mtoto huyu,
Wema Sepetu aliandika hivi Instagram.. ''Happy Birthday Princess Tee…???????????????????????? May Allah bless your precious lil self… You will definitely turn out to be a phenomenal young woman''
No comments:
Post a Comment