Sina matatizo na Joh Makini: Dully Sykes - Jumaa Lunduno

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 11 August 2016

Sina matatizo na Joh Makini: Dully Sykes

 
Baada ya mastori kibao kusambaa kwenye mitandao na kusikika hapa na pale kuhusiana na Dully sykes kukataa Joh Makini kuwepo kwenye ngoma ya “Confidence”, Dully ameamua kufunguka ishu hiyo na kuiweka wazi.

Msanii wa Bongofleva Dully Sykes alikuwa leo kwenye kipindi cha XXL cha CloudsFm kutambulisha ngoma yake mpya ya “Inde” aliyomshirikisha Harmonize, Wakati mahaojiano yakiendelea, Dully Sykes alifunguka kuwa hana matatizo na rapper Joh Makini baada ya kuulizwa kama anamatatizo naye.

 ''Tuna nyimbo ya Pamoja mi na Joh Makini, na mimi na Joh Makini hatuna tatizo lolote, hilo tu, Mi na Joh Hatujawahi kugombana na hatujawahi kupishana'' Alisema Dully sykes.

Unaweza kumsikiliza zaidi hapa :

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here