Huu ndio ujio mpya wa Songa - Jumaa Lunduno

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, 19 September 2016

Huu ndio ujio mpya wa Songa

 Image result for Songa - Yule Jamaa
Yule Jamaa namzungumzia Songa ameamua kuja na project yake mpya ''Sukuma Wiki''

Baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya ''Yule Jamaa'' Songa ameamua kuja na project yake mpya ya ''Sukuma wiki'', project hii itakuwa ni moja ya idea yake ambayo itakuwa inatoa ngoma moja kila baaada ya Wiki tatu, na hii yote imekuja baada ya kuwa na kazi nyingi za kuandika, kuingia studio na vilevile kutokana nakuwa na stock kubwaya ngoma, Songa ameamua kuja na ujio mpya wa ''Sukuma wiki''
  
''Unajua sahivi kazi zimekuwa nyingi yaani kila siku mimi nimekuwa ni mtu wa kuandika na kurekodi kila siku, watu wengi wamekuwa wakiuliza kwanini nakuwa kimya kwa muda mrefu,.. kwasasa stock ipo nyingi ya kutosha na nina maproject mengine kibao nayaandaa kuna video kuna Album, kwahiyo nikaona niachie hii project ya Sukuma wiki'' Aliongea Songa


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here