Baraka The Prince Amemtolea Povu Mchekeshaji Stan Bakora Kisa Kizima Kipo Hapa. - Jumaa Lunduno

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday 10 October 2016

Baraka The Prince Amemtolea Povu Mchekeshaji Stan Bakora Kisa Kizima Kipo Hapa.

Image result for stan bakora
October 9 mchekeshaji Stan Bakora alipublish video ya wimbo alioufanya Baraka Da Prince Nisamehe aliomshilikisha Alikiba 

kama Cover,baada ya video hiyo kusambaa,masaa kadhaa pia Baraka aliweza kumind kitendo kile cha Stan Bakora kufanya Cover ya video ya wimbo wake kwa jinsi alivyo act kama Baraka Da Price ndani ya hiyo video.
 

Kupitia ukurasa wa Instagram Baraka Da Price ameandika maneno haya, 

"Matani ni mazuri ila ya kizidi yanaweza kuleta matatizo... Heshima ichukue nafasi yake tafadhali mzee @stanbakora utani huu sijaupenda iwe mwanzo na mwisho tafadhali..."

 
Kupitia Ukurasa wa Stan Bakora naye pia amejitetea kwa kucofirm taarifa hizi hapa, 

"Tangu naanza kufanya Cover za Wasanii Sijawahi kufanya Cover Ya msanii Yeyote Pasipo Makubaliano Kati Yangu Mm Na Msanii Mwenyewe ,Ndivo Hvyo ilivyokuwa Hata Kwenye Cover Ya#Nisamehe Ya @barakahtheprince_... Before Ya Kufanya Tulikubaliana Kwanza,Sasa Nashangaa Kuona Anapost Na Kuongelea Kitu ambacho Kama Hatujakubaliana.!!"

 

 Cheki hapa video ya {Stan Bakora - Nisamee Cover Baraka Da Prince...}


https://cldup.com/QdpOc_VcEr.mp4?download=BEKABOY%20Stan%20Bakora%20-%20NISAMEHE%20Parody%20(%20By%20Baraka%20The%20Prince%20ft%20Alikiba).mp4

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here