Nikki Wa Pili Anacho Cha Kusema Na Waalimu Wa Shule Za Sekondari.. - Jumaa Lunduno

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday 14 October 2016

Nikki Wa Pili Anacho Cha Kusema Na Waalimu Wa Shule Za Sekondari..

Image result for nikki wa pili
Takribani wiki mbili zilizopita kumekua na mfululizo wa matukio tofauti yaliyohusisha Waalimu na Wanafunzi wa shule Za sekondari.

Moja ya matukio hayo ni lile la Waalimu kuwarekodi Wanafunzi waliokamatwa wakinywa viroba

na kuvuta bangi kisha kuivujisha mtandaoni video hiyo.

Kwa mujibu wa post Kwenye page yake ya Instagram Rappa Nikki Wa Pili ameonesha kusikitishwa na Kitendo hicho.

Nimeona mtandaoni video wanafunzi flan wamepiga magoti...mmoja kashika kiroba wanaulizwa kuhusu bangi.......bt nikawaza kuwa...mwalimu ana uhusiano wa kimkataba na mwajiri awe serikali au binafsi.....ila mwalimu ana mkataba wa kijamii na wanafunzi.....mwalimu ni mzazi, mzazi husitiri mtoto wake hata ulewe mpaka ujisaidie mzazi ata kustiri hata jirani asijuwe.......wanafunzi watukutu ndioo ndio mambo ya ujana/kubalehe ni kitu tunategemea so ndio mana tuna taasisi kama shule kuwafunza mema.....ndio mwana mwalimu anaenda mafunzo haokotwi tu mtaani.......mim sishangai wanafunzi kuwa watovu wa nidhamu ila si ungi mkono...ila nategemea waalimu x wazazi kaka dada tuwasaidie.....ila sitegemei mwalimu kuchukuwa hatuwa za kimwanafunzi ku tatuwa changamoto za wanafunzi......#nimawazo yangu lakini...Elimu ni ualimu
A photo posted by nikk wa ii (@nikkwapili) on

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here