Chemical afunguka haya kwa watu wasioamini kuwa yeye bado ‘Bikira’ - Jumaa Lunduno

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday 21 November 2016

Chemical afunguka haya kwa watu wasioamini kuwa yeye bado ‘Bikira’


Baada ya Rapper wa kike Bongo mwenye swagga za kibishi, Chemical kufunguka na kusema kuwa yeye bado ni bikira {hajawahi kujigijigi tangu azaliwe}.

Sasa mapya yaibuka kwa watu mbalimbali kwa kuto kumuamini kwa kusema yeye bado hajawahi kuguswa na mwanaume.

Rapa ‘ChemicalMwana Lubao, amesema anashangaa kuona watu hawa muamini anaposema yeye hajawahi ‘Kuvunja amri ya sita’ tangu azaliwe.

Akiongea kupitia kipindi cha Kubamba cha Times Fm jana, Chemical amedai yeye anataka kuutunza ‘Usichana’ wake mpaka pale atakapo ona inafaa.

''Sijawahi kufanya Mapenzi hata siku moja, nimeachana na Mpenzi wangu kwa sababu hataki kusubiri, nipo single sasa hivi.

''Sijui watu kwa nini hawa amini, wanahisi ni kitu ambacho hakiwezekani aisee'' alimaliza Chemical.


Chemical Mwana Lubao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here