Kama Unajua wewe ni Shabiki wa Young Killer, ujumbe huu unakuhusu... - Jumaa Lunduno

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 3 November 2016

Kama Unajua wewe ni Shabiki wa Young Killer, ujumbe huu unakuhusu...

Image result for msodoki
Young Killer Msodoki a.ka Mtafutaji anakwambia amechoka kukaa home leo anatafuta mwanae wa ukweli aje apumzike naye.

Rapper Young Killer Msodoki ametoa nafasi kwa mashabiki zake ambao ni wakweli aje ale nao goodtime, yaani kama home kunamboa hivi so anataka kuibuka pande za mashabiki zake ila angalizo lazima uwe mwanae wa ukweli au sio, cheki hapa

A video posted by M S O D O K I (@youngkillermsodokii) on


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here