Msanii wa kizazi kipya Chemical anaepeperusha bendera ya Tanzania kwa kupitia wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la "I'M Sorry Mama" mwanadada huyo iv kalibuni amesikika akisema kuwa yeye bado ni Bikira {hakuwahi kunanii tangu amezaliwa}.
Chemical ameongea hayo wakati akihojiwa katika kipindi cha D'wikend Chatshow kinachorushwa kupitia Clouds Tv. Mwanadada huyo Chemical ameongeza, licha ya kuwa bikira hajawahi kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja{ulesbian}.
Vile vile ameongezea, yeye hana gharama kabisa, kwasababu hatumii mavitu ya gharama kama wadada wa mjini {hapaki miwanja, haweki manywele ya bandia, na makororo mingine ya thamani} ambayo wadada wa mjini wamekuwa wakitumia sana kwa kipindi hiki.
No comments:
Post a Comment