Chemical azitaja sifa za mwanaume atakaye mtunuku BIKRA yake! - Jumaa Lunduno

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday 14 December 2016

Chemical azitaja sifa za mwanaume atakaye mtunuku BIKRA yake!

 Related image
Takriban mwezi umepita sasa tangu zianze kuvuma tetesi zinazomuhusisha rapper wa kike Tanzania Chemical  zikidai kuwa mrembo huyo bado hajamjua mwanaume {Bikra}.


Mengi yameongelewa, comments zimetolewa kuhusiana na jambo hilo ila leo 255 imemkamata mrembo huyo mwenye miondoko ya hip hop kwenye exclusive interview na kupiga nae story kibao moja wapo likiwa ni jambo hilo la Bikra yake.

Uthibitisho wa ukweli kuhusiana na jambo hilo umetoka kwa Chemical mwenyewe na kufunguka mengi ikiwemo sifa za mwanaume ambaye anatarajia kuja kumtunuku Bikra hiyo.

''Kwanza aniheshimu, nikiwa nae kwanza nimjue kwa muda mrefu, asiniigizie, anipende kama nilivyo, aniheshimu na anipende kweli.'' hizo nibaadhi tu ya sifa ambazo Chemical amefunguka kuwa awenazo mwanaume ambaye atafikiria kumtunuku bikra yake.

Sasa utamu wote nimekuwekea hapa chini kwenye Audio hii. Unaweza kuplay na Kudownload ili kumsikiliza Chemical akifunguka mwanzo hadi mwisho.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here