Mixtape: Duke Tachez – 2016 EP {Listen} - Jumaa Lunduno

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday 20 December 2016

Mixtape: Duke Tachez – 2016 EP {Listen}


Kutoka MLAB Rocords huyu hapa Duke Tachez producer mwenye touchez za kiaina yake kwenye midundo ya Hiphop ameamua kuumaliza mwaka huu wa 2016 kwa kuwapa zawadi wapenzi wote wa muziki mzuri kwa kuachia EP (2016 EP) yenye marapper kibao humo ndani.

 

Kama ilivyo kawaida yetu kukivuta karibu yako chochote kile ninachokutana nacho endap tu kinakustahili, ndio maana sikusita kuileta hii mixtape nzima uweze kuenjoy nayo hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here