Nikki Mbishi:- Hakunaga kama Chid Benz - Jumaa Lunduno

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday 20 December 2016

Nikki Mbishi:- Hakunaga kama Chid Benz

Image result for Nikki Mbishi
Ikiwa imepita miezi kadhaa toka rapa Chid Benz alimaarufu kama Chuma kuachia wimbo wake mpya na baadaye kupotea kabisa Rapa Nikki Mbishi amefunguka na kusema kuwa katika muziki wa Hip hop hakuna rapa mzuri na mwenye uwezo kama Chid Benzi.

Nikki Mbishi ameonesha kusikitishwa sana na kupotea kimuziki kwa Chid Benz na masuala ya utumiaji wa dawa za kulevya na kusema siku zote huwa anaumia sana juu ya Chid Benz na amemuomba kurudi kwenye muziki na kutotumia dawa za kulevya kwani si nzuri kwa afya yake.

''Jamaa ananiumaga sana nyinyi hamjui tu, hakunaga kama Chid Benzi. They die in talent am so sory for you brother came back, don’t do drugs it’s not good for your health'' alisema Nikki Mbishi.

 chidi
                              Chid Benz.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here