‘Hela’ ya Madee ni nomaa, Cheki shangwe za Fid Q - Jumaa Lunduno

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, 25 January 2017

‘Hela’ ya Madee ni nomaa, Cheki shangwe za Fid Q

Image result for fid q 2017
Ngoma ya Madee ''Hela'' imeanza kunukia kila kona ya kitaa na kuifanya kuanza kupanda chati kwenye listi ya ngoma mpya ambazo zimetoka, Guud Newz ni kwamba Hela ya Madee imempa FidQ vibes za hatari.

Kupitia kurasa ya FidQ ambayo ilipostiwa video fupi ya FidQ akiwa kwenye vibe yakufa mtu akiwa anasikiliza wimbo mpya wa Madee ambao umemfanya kuamsha hisia za burudani juu ya muziki mzuri, ndani ya video hiyo Fid Q alifunguka na kusema kwamba Madude kama haya ndio yanahitajika kusikika mitaani.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here