Dogo Janja {Janjaro} Inabidi Ailudie Ngoma Yake Ya ''Ukivaaje Utapendeza'' Ni Baada Ya Roma Mkatoriki Kum-Dis Madee - Jumaa Lunduno

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, 22 October 2017

Dogo Janja {Janjaro} Inabidi Ailudie Ngoma Yake Ya ''Ukivaaje Utapendeza'' Ni Baada Ya Roma Mkatoriki Kum-Dis Madee


Utani wa Roma Mkatoliki na Madee bhana huwa unafurahisha sana, hauna utofauti na ule wa P Diddy na 50CentRoma Mkatoliki kupitia akaunti yake ya Instagram amemaua kumtolea povu Madee kuhusu picha yake.




Kama ni mfuatiliaji mzuri wa Post za Madee kwenye Account Yake ya Instagram utakutana na maphotoshoot flani hivi ya kinyamwezi, Sasa kwenye comment mzee wa Zimbabwe Roma Mkatoliki aliamua kumchana Madee kutokana na kiatu ambacho alikivaa kwenye post hiyo,Roma Mkatoliki aliandika kwamba

''Hiko Kiatu kumbe Aahh Nilijua P.O.P, Fashion zingine Bhana kuna Watu Hata Haziwapendezi''
Kwa namna hiyo inamaanisha Dogo Janja inabidi arudie ile ngoma yake ''Ukivaaje Utapendeza'' ili ku,uelimisha baba yake Madee au vipi?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here