Usije Ukashangaa kumsikia Ruby katika Muziki wa Taarab au Hip Hop aina hizi mbili za muzik.... - Jumaa Lunduno

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, 24 October 2017

Usije Ukashangaa kumsikia Ruby katika Muziki wa Taarab au Hip Hop aina hizi mbili za muzik....


Msanii mrembo wa Bongo Flava, Ruby amefunguka kuhusu kufanya muziki aina ya Taarab na Rap.

Muimbaji huyo mwenye sauti ya kipekee amewaambia mashabiki wake Kuwa anaweza kufanya aina za muziki Tofauti tofauti ila Taarab ipo katika nafasi nzuri kwake kutokana yeye ni muimbaji Pia na sauti Yake Inam.beba.

''Off course I can sing taarab. Hip hop pia naweza nikafanya lakini kwa sasa siwezi kwa sababu sipo katika mood ya kufanya Rap Music ila Taarab naweza kwa sababu sauti yangu ni ya kuiamba muda wote, Kurap siyo my talent but I can sit down and Rap'' Amefunguka Ruby.

Ruby hajawahi kufanya kolabo na msanii yeyote wa taarab ila ameweza kufanya kolabo na Rapper Wakazi pale alipomshirikisha katika Remix ya ngoma yake ‘Sijutii’.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here