Msanii wa hip hop tokea Arusha Chindo amewataja wana hip hop anaowakubali zaidi Tanzania.
Akitambulisha video yake mpya ya Torati ya mtaa kwenye kipindi cha Friday night Live Chindo amemtaja Hashimu Dogo kama namba moja,Fid Q akifuatiwa na JCB kama wana hip hop anaowakubali kwa Tanzania na Afrika.
Kwa upande wa mbele Chindo amewataja Nas Escobar, Jay z, J Cole, Kendrick Lamar na Meek Mill kama wana hip hop anaowakubali zaidi.
No comments:
Post a Comment