Video: Tazama Documentary ya AY alivyoenda SA kwenye show ya Mandela Day. - Jumaa Lunduno

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday 9 August 2016

Video: Tazama Documentary ya AY alivyoenda SA kwenye show ya Mandela Day.

 
AY alikuwa mmoja wa wasanii wa Afrika waliotumbuiza kwenye uliopita kwenye tamasha la Mandela Day jijini Jozi, Afrika Kusini. Tazama documentary hii ya kuvutia kuhusu safari hiyo na hadi show yake. Kuna wimbo mpya alioutumbuiza na huenda ukawa moja ya nyimbo zake zijazo. Kwenye video hii utawaona zaidi pia Salama Jabir na Hermy B waliyeongozana naye.

                                                          WATCH VIDEO

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here