Amber Lulu amewaacha wengi mdomo wazi baada ya kufunguka kuwa amewahi kubeba ujauzito wa msanii mkali wa Bongo Fleva Barnaba Classic ila kwa bahati mbaya ujauzito huo uliharibika.
Akiwa kwenye exclusive interview na The Red Chair Amber Lulu amefunguka hayo na kudai kuwa hakuwa na nia ya kuitoa mimba hiyo bali alitaka kujifungua ila kwa bahati mbaya ikaharibika.
Play hii video hapa chini kumsikiliza Amber Lulu akifunguka mengi zaidi kuhusu mastar wenzake kama Gigy Money, Young Dee na wengineo kibao.
WATCH VIDEO
No comments:
Post a Comment