Gigy Money akiri kutoka Kimapenzi na Mastaa wakubwa Bongo, list nzima iko hapa - Jumaa Lunduno

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday 11 August 2016

Gigy Money akiri kutoka Kimapenzi na Mastaa wakubwa Bongo, list nzima iko hapa



Katika miaka 19 aliyoishi Duniani hakumbuki idadi ya wanaume ambao ameshalala nao, Annasema akiwa amezaliwa katika familia ya Watoto wanne ambao kila mtu ana Baba yake, kwa upande wake hakuwahi kumjua Baba yake.

 

Akifunguka kupitia Take One ya Clouds TV kile alichosema ni ukweli wa maisha yake, Giggy Money amesema Mama yake alimzaa pembeni ya mlango wa choo, na ni mtu aliekuwa akiwa anaamini hapendwi na Mama yake mzazi kutokana na sababu tofauti kabla hajagundua ukweli.

Gigy Money amesema kuwa aliwahi kujitoa kimwili katika umri mdogo ili apate hela ya kuweza kumnusuru Mama yake mzazi kulipa Deni la mkopo wa Benki.

 Katika harakati ya kutafuta pesa hizo, Gigy Money amewataja baadhi ya mastaa ambao alishawahi kufanya nao ngona na kujihusisha nao kwenye mahusiano ikiwa ni pamoja na..

 List Hii hapa:

1. ALIKIBA
2. ABDU KIBA
3. CASTRO DICKSON
4. HAMED PHD
5. RICH MAVOKO
6. HARMONIZE

Alizidi kueleza ''Nilikuwa na Castro mpaka nilikuwa tayari kumzalia,'' Gigy Money alikiambia kipindi cha Take One cha Clouds TV. “kwa sababu anajua upendo kwa mtoto, lakini wakaja wanawake wamjini wakakorofisha, lakini hajawai kuniambia kama tumeachana, sijui kama tumeachana,”

Gigy ambaye pia ni mtangazaji wa Choice FM ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ya ''Tikisa Supu''

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here