Ujumbe huu wa Nikki wa Pili utakufundisha kitu…. - Jumaa Lunduno

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 11 August 2016

Ujumbe huu wa Nikki wa Pili utakufundisha kitu….

 
Kama unapenda kutembelea kurasa ya Instagram ya Nikki wa pili najua utakuwa unajifunza mengi ambayo Nikki hupenda kushare na watanzania

Kupitia kurasa ya Instagram ya Nikki wa pili ameshare vitu vya msingi ambavyo nahisi ikiwa wewe ni shabiki au mzalendo wa nchi yako basi lazima utajifunza jambo kutoka kwa Nikki, Tazama huu ujumbe kisha sema umejifunza nini hapa.

Ukienda gereji kujifunza ufundi gari ndani ya miaka 3 unakuwa fundi, ukijifunza ufugaji kuku miaka 2 una juwa, ukijifunza ufundi wa kutengeneza vitanda,makochi, meza miaka 3 una juwa vizur tu, hata ku dance au kuimba, au kutengeneza computer au redio waweza jifunza ndani ya miaka hiyo.........LAkini ji ulize hivi darasa la kwanza mpaka unamaliza degree zaidi ya vyeti hivi kuna ujuzi wa maana umepata kweli???????? Je unaweza kusaidia jamii kupata vitu inavyo itaji kila siku..umeme, maji, technology, chakula, daraja, bara bara, vifaa vya kutumia, furaha, nakadhalika.........kwanini toka darasa la kwanza tusiwafundishe watoto vitu vya msingi zaidi ya kuwapotezea muda wao......eti mtihani unauliza....nguo chafu ni makazi ya...(a) chawa (b)mende (c) sungura.....time westing.......mtoto ukimfundisha kujenga nyumba toka utotoni mpaka anafika form 6 kwanini asijenge ghorofa????
A photo posted by nikk wa ii (@nikkwapili) on

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here